suppose

vt 1 dhani, fikiri. kisia. 2 chukulia kwamba; tuseme ~ they differ tuseme wanaachana/ wanafarakana. 3 (used as imper. or to make a suggestion) ~we go tuondoke, waonaje tukiondoka. 4 be ~d to tarajiwa, takiwa (colloq) (in neg); totakiwa, topasa. supposing conj kama, iwapo. supposed adj -a kudhaniwa. supposedly adv kwa kudhani, kwa kuwazia. supposition n 1 kukisia. on this supposition; on the supposition that kwa kufikiria kwamba.