supply

vt ~ something to somebody; ~ somebody with something 1 toa, leta, weka, pa. 2 kimu, ruzuku n 1 kutoa, kuleta, kuweka. 2 akiba, ugavi. ~ and demand n ugavi na mahitaji. ~ curve n mchirizo wa ugavi. be in short ~ pungua; adimika. 3 (pl) supplies vifaa. 4 supplies n (GB) ruzuku ya bunge kwa serikali. 5 be/go on supplies shikiza (kazi); -wa mshikizio. supplier n mgawaji, mtoaji.