supplement

n nyongeza, ziada. 2 jalizo, kijalizo vt 1 ongeza. 2 jaliza. supplemental adj -a nyongeza, -a kama nyongeza, -a kuongezea. supplementary adj 1 -a kuongeza; -a ziada; -a kutimiliza. 2 -a kujaliza ~ary examination mtihani wa kurudia/ nyongeza.