superior
adj 1 bora, aula, ema zaidi. 2 kubwa/ingi zaidi. 3 ~to -a kupita -ingine, sioshindwa, -enye kuzidi; -a cheo cha juu. ~ to sioshindwa na; sioshawishika na he is ~ to bribes hahongeki. 4 - enye usodai/kiburi n 1 mkuu. 2 mkuu wa jumuiya ya dini. superiority n ukubwa, ukuu; ubora (kuliko -ingine); kiburi. ~ity complex n hisia za kujifanya bora (kwa sababu ya kujihisi kuwa unadunishwa), majikwezo, ubwana mkubwa.