summer

n (in countries outside the tropics) majira ya joto vi kaa/fanya makazi mahali wakati wa joto. summer-house n banda la kukaa (bustanini n.k.). ~ school n kozi agh za chuo kikuu wakati wa majira ya joto. ~ time n majira ya joto/hari, kipindi ambacho saa hurudishwa nyuma kwa saa moja katika nchi kadhaa. summery adj.