suit

suit

1 1 n suti a two/three piece ~ sutiya vipande viwili/ vitatu in one's birthday ~ uchi. suitcase n sanduku (la nguo). 2 law ~ n madai, daawa, mashtaka. file ~ vt fungua madai /mashtaka. 3 haja, maombi. 4 (lit or old use) kuposa, poso. 5 jamii ya namna moja ya karata. follow ~ vt fuata jamii ya karata; (fig) fuata mkumbo, iga, fuata. suiting n kitambaa cha suti. suitor n 1 mchumba mtu anayechumbia. 2 mdai.

suit

2 vt 1 faa, juzu, stahili; stahilia that car suits me ile motakaa inanifaa. ~ oneself fanya anavyopenda. ~yourself hiari/shauri yako, upendavyo. ~ somebody down to the ground faa sana/hasa. 2 (espec of clothes etc) kaa vyema, pendeza. 3 ~ something to linganisha, patanisha, oanisha. ~ the action to the word tekeleza kama ulivyonena. 4 be ~ed (to/for) faa. suitable adj -a kufaa, -a kustahili, -stahiki that would not be ~table haifai. ~ ably adv. ~tability n kufaa. ~tableness n.