sugar

n sukari. unrefined ~ sukari n guru vt tia sukari. ~-beet n kiazi sukari ~-bowl n bakuli la sukari. sugar-cane n muwa. ~ coated adj -liopakwa sukari; (fig) -a kuvutia, -a kudanganya. ~ daddy n mzee kijana (atumiaye mali kutongozea wanawali) sugarloaf n bonge la sukari. ~ lump n kibonge cha sukari. ~-refinery n kiwanda cha sukari. ~-tongs n kishikio cha sukari. sugary adj -a sukari; kama sukari; -tamu; (fig) -a kupaka mafuta.