suffrage

n 1 kura, haki ya kupiga kura universal ~ haki ya kupiga kura kwa wote. suffragette n mwanamke aliyedai haki ya kupiga kura (mwanzoni mwa karne ya 20 (huko Uingereza). suffragist n mdai haki ya wanawake kupiga kura.