such

adj 1 ~... as ... kama ~ politicians as Nyerere wanasiasa kama Nyerere. 2 jinsi. ~ as it is jinsi ilivyo. ~ as to kiasi cha ~ as to scare me kiasi cha kunitisha. 3 ~ that; ~... that kiasi kwamba the work was ~ that he had no time for lunch kazi ilikuwa kubwa kiasi kwamba hakuwa na muda wa kula mchana. 4 hivyo, hivi don't be such a fool usiwe mpumbavu hivyo. 5 (intensive) mno, hasa she was ~ a good player alikuwa mchezaji mzuri mno. 6 (pred use) hii, hiyo ~ is life hayo ndiyo maisha. ~ and ~ adj fulani. such-like adj (colloq) -a kama hiyo, -a jinsi hiyo, liofanana na hiyo; (pron) hiyo, hayo, huyu n.k. as ~ kikwelikweli, hasa (hasa).