suburb

n kando ya kiunga cha mji, pambizoni mwa mji. the ~s n viunga, vitongoji. suburban adj 1 -a kiungani, -a pambizoni, -a pembeni, -a kando ya mji. 2 (derog) -a kienyeji, -siostaarabu, -enye mawazo finyu. suburbia n 1 vitongoji, kando ya mji, viunga. 2 (derog) maisha/ mtazamo wa wakazi wa viunga.