subsist

vi ~ (on) ponea/ishi kwa (kutumia), jikimu. subsistence n 1 riziki. ~ence crops n mazao ya chakula. ~ence allowance n posho ya kujikimu. ~ence economy n uchumi wa kijungujiko.