subscribe

vt 1 ~ (something) (to/for) changa, toa fedha, toa mchango. 2 ~to something (of magazine etc.) lipia; (of ideas) unga mkono ~for a book kubali kununua kitabu kabla ya kuchapishwa kwake. 3 tia sahihi, tia mkono. subscriber n mchanga fedha; mteja. subscription n 1 mchango, ada. 2 utiaji sahihi. subscription concert maonyesho ambapo tikiti zote zinauzwa kabla ya siku.