sublime

adj 1 -a hali ya juu sana, adhimu, -kuu, -tukufu. 2 -a shani, -a kioja n the ~ adhama, fahari, utukufu. (go) from the ~ to the ridiculous toka kwenye utukufu/hadhi/mambo ya maana na kuingia kwenye uchwara/ upuuzi. sublimely adv kwa ubora, kwa utukufu. sublimity n fahari, adhama. sublimate vt 1 (chem) safisha kwa kufanya mvuke/kuchemsha/kuweka juani n.k. na kurudisha katika hali yake ya awali. 2 (psych) takasa (hisia n.k.). sublimation n.