style

mtindo (katika maandishi/ usemaji). 2 ufahari. in ~ kifahari. 3 (fashion) mtindo (katika mavazi, vitu vya anasa n.k.) 4 cheo, jina. 5 kalamu (ya kuandikia) vt 1 ita, taja. 2 buni, sanifu. stylish adj -a mitindo; a fahari kupita. stylishly adv. stylishness n. stylist n mwenye mtindo bora (agh katika uandishi). 2 (comm) msanifu mitindo hair stylist msusi. stylistic adj -a mtindo. stylistics n elimu mitindo. stylize vt shikilia mtindo, igiza mtindo, weka katika mtindo fulani.