stumble

vi 1 jikwaa. ~ across/ upon/ kuta/pata kwa bahati. stumbling-block n kikwazo, pingamizi, kizuizi, kigingi. 2 ~about/ along/around yumbayumba. 3 (in speech) babaika n 1 kujikwaa. 2 kosa. stumblingly adv.