study

n kujifunza, mtalaa/mtaala; masomo. 2 uchunguzi, utafiti. 3 chumba cha kusomea. 4 be in a brown ~ potea/zama kimawazo make a ~ of chunguza. ~ group n kikundi cha wasomi. 5 zoezi, mchoro wa mazoezi/ majaribio. 6 (old use) bidii vt,vi 1 soma, talii. ~ to be a doctor somea udaktari. 2 tafiti, chunguza ~ the programme chunguza mpango. 3 shughulikia, zingatia. studied adj -a kusudi, - liodhamiriwa, -enye makusudi. student n mwanafunzi. 2 mwanachuo. studious adj 1 -enye bidii ya mafunzo. 2 -angalifu. studiously adv. studiousness n bidii ya kusoma.