studio

n 1 studio: chumba cha kurekodia na kutangazia vipindi vya redio, T.V. n.k. ~audience n washangiliaji katika studio. 2 studio: chumba cha msanii, mpiga picha n.k. (chenye mwanga mzuri). ~ couch n kochi kitanda. 3 chumba/ bwalo la kuigizia/kupigia filamu.