struggle

vi ~ (against/with) shindana, pambana; kakamka, jitahidi sana. they ~d up the hill walijitahidi kukwea mlima n 1 mapambano, harakati. 2 shindano the class ~ harakati za kitabaka.