strong

1 adj -a nguvu, hodari, thabiti, imara. as ~ as a horse enye nguvu sana. one's ~ point ustadi, jambo ambalo mtu analifanya vyema. strong-arm adj -enye nguvu, mabavu. strong-box n sefu, sanduku la chuma. strong-headed adj -enye kiburi, -enye majivuno, kichwa ngumu. ~-headedness n majivuno, kiburi; ushupavu. stronghold n ngome, boma; (fig) chimbuko, kiini) ~minded adj 1 -a ubongo wenye uwezo na mkali; -enye msimamo. ~willed adj -enye msimamo wa nguvu. ~-room n chumba cha hazina. 2 (of smell, drink, flavour etc) zito, kali. a ~ tea n chai nzito. 3 -a athari kubwa, -a kero, tusi. ~language n lugha kali/ ya matusi. 4 ~ drink n pombe kali, -enye alkoholi. 5 (adverbial use) going ~ adj (colloq) buheri wa afya, -enye afya/siha njema. come/go it (rather/a bit) ~ (colloq) kuza, tia chumvi. strongly adv. 6 (comm) (of prices) -enye kupanda kwa utaratibu, isiyoyumba.