stroke

n 1 pigo. 2 mkambi; kasia, kafi; mpiga makasia. 3 kiongozi; jaribio moja, tokeo la jaribio hilo. at a/one ~ kwa mkupuo (mmoja). 4 mlio wa saa/ kengele what a ~of luck bahati iliyoje. 5 alama ya kalamu, mstari. 6 kiharusi, upoozaji, ugonjwa wa ubongo (unaosababisha kupooza) vt singa, sugua; papasa. ~ up the wrong way shusha, chukiza, kasirisha. ~ down tuliza, poza n kupapasa; kusinga.