stride

vi,vt 1 tembea kwa hatua ndefu, piga hatua ndefu. ~ over/across something chupa, ruka (kwa hatua moja). 3 panua/tanua miguu; tagaa n hatua ndefu. take something in one's ~ fanya bila taabu. make great ~s endelea sana; fanya maendeleo ya haraka.