strict

adj 1 -kali; -a shuruti, -enye kutiisha. ~ discipline n nidhamu kali. 2 halisi, hasahasa, kamili, tupu; liotongolewa sawa sawa ~ truth kweli tupu. strictly adv hasa hasa, kabisa, kwa kweli; kwa akali. strictness n.