stress

n mfadhaiko utokanao na shida/taabu, dhiki, matatizo, msongo (wa mambo); shinikizo work ~ dhiki ya kazi. 2 shada, mkazo. ~ mark n dhiki ya alama ya mkazo. 3 (mech) msongo, kani. 4 mkazo, uzito, msisitizo, himizo lay ~ on sisitiza, tia mkazo vt sisitiza, kazia.