streamline

vt nyoosha, leta ufanisi (kwa kurahisisha). streamlined adj -lionyooka, sio na mizengwe/vikwazo. street n mtaa. ~-car n (US) tramu. ~ door n mlango wa mbele/nje (katika nyumba). ~-lighting n taa za barabarani. the man in the ~mtu (wa kawaida); mwananchi. not in the same ~ (as) si -zuri kama, tolingana kabisa, tofauti kabisa. streamlines ahead of (colloq) mbali na; mbali sana; mbele kabisa (ya). (right) up one's ~ (colloq) -a kufahamika katika uwanja/utaalamu/eneo/ mapendeleo ya. go on the ~ piga umalaya. ~ girl/walker n malaya. ~-sweeper n mfagiaji barabarani.