streak

n 1 mstari, mchirizi, mfuo, mlia. 2 dalili he has a ~ of cruelty ana dalili ya ukatili. 3 kipindi kifupi. a ~ of good luck kipindi cha bahati nzuri. hit a winning ~ shinda mfululizo vt 1 piga milia, chiriza. 2 (colloq) kurupuka, kimbia kwa kasi sana. streaky adj -enye milia, -a mistari mistari.