stray

vi potea, tangatanga; yugayuga, potewa na njia (attrib) 1 -liopotea. 2 -a bahati nasibu, chache n 1 mpotevu. 2 asiye na asili wala fasili. waifs and ~s watoto wasio (na) makwao.