straw

n 1 majani makavu; (of wheat, barley, rice) mabua. make bricks without ~ fanya kitu bila maandalizi kamili/nyenzo. a man of ~ mpinzani wa kubuni/wa kubuniwa /anayeshindwa kirahisi. ~ board n karatasi nene kama ubao mwembamba uliotengenezwa kwa mabua. ~ coloured adj njano njano. 2 mrija. catch at a ~/clutch at ~s tapatapa. not care a ~ tojali hata kidogo. not worth a ~ bure ghali. a ~ in the wind fununu. a ~ vote n kura ya maoni, (isiyorasmi). the last ~ pigo la mwisho vt tandaza majani/nyasi; funika na nyasi.