stratum

n tabaka. stratification n utabakishaji, kufanyika kwa matabaka. stratify vt fanya tabaka, tabakisha, gawanya.