strap
n ukanda; ugwe; kigwe. ~ hanger n wasafiri wasimamao na kushikilia ukanda vt 1 ~ something (on/ upon) funga/ganga/kaza kwa ugwe. 2 piga kwa kanda. strapping adj -refu, -enye siha nzuri, bonge, kubwa. strappado n adhabu ya kumning'iniza mkosaji kwa kamba.