strange

adj 1 -geni; -a ajabu; -a kigeni. ~ to say... ni ajabu kwamba... 2 (pred) ~ to something -pya; jinga; -siozoea, geni. be ~ to something -tozoea jambo fulani. strangely adv 1 ajabu, kiajabuajabu, kwa jinsi isiyo ya kawaida; vingine kabisa. strangeness n 1 ugeni. 2 upya; ajabu. stranger n 1 mgeni he is a ~r to me simjui; mgeni kwangu you are a ~r these days umeadimika sana siku hizi ~r to proceedings mgeni kwa mashauri he is no ~r to poverty -sio mgeni wa umaskini.