strain

n 1 mkazo, kulazimishwa; kulazimika. 2 majaribu, mvuto. the ~ of modern life majaribu/mvuto wa maisha ya kisasa. 3 uchovu, machofu, mavune. 4 kuteguka. 5 mtindo (wa kusema/kuandika). 6 mwelekeo, dalili a ~ of insanity dalili ya kiburi. 7 (of animals, insects) uzao, ukoo, safu, mbegu a goat of a good ~ mbuzi wa uzao bora. 8 (poet usu pl) wimbo vt,vi 1 vuta kwa nguvu, kaza. 2 tumia ote vizuri (agh. uwezo, rasilimali), jitahidi, kakamka. 3 (of muscles) tegua; teguka, shtua; (of eyes etc) umiza. 4 ~ (at/on) fanya kwa bidii sana. 5 (fig) geuza maana, lazimisha maana. 6 (liter) kumbatia, binya she ~ed the child to her bosom alimkumbatia mtoto kifuani. 7 ~ (off/out) chuja. 8 ~ at something chunguza sana, chagua, sita.9 (esp. of feelings and behaviour) -a kulazimishwa, -a shida, -a mashaka a ~ed laughter kicheko cha kulazimisha. strained relations n uhusiano wa kulazimisha. strainer n kung'uto, kifumba, chujio, kichujio coconut ~er kung'uto a tea ~er kichujio cha chai.