straight

adj 1 sawa, -nyoofu,siopinda. 2 sambamba na, -sawa. 3 safi, sawa, nadhifu. put something ~ nyoosha, weka sawa. put the records ~ toa maelezo sahihi. 4 (of a person) aminifu, -kweli, -nyoofu. 5 (colloq) of a person) -a kawaida, -a kupenda jinsi nyingine; -a kufuata taratibu. 6 (phrases) a ~ fight n (in politics) michuano ya wagombeaji kura wawili tu. a ~ play drama ya kawaida. a ~ tip n dokezo kutoka kwa mtu anayeaminika. keep a ~ face -toonyesha hisia, jizuia kucheka. 7 (of alcoholic drinks) kavu (isiyochanganywa na maji n.k.) Two ~ whiskies please naomba wiski mbili kavu n (colloq) mtu wa kawaida, mwaminifu, mkweli, mnyoofu. straighten vt,vi straighten (out/up) nyosha, fanya sawa, tengeneza ~en your dress tengeneza gauni lako. straightness n, adv 1 moja kwa moja. keep ~ on nenda moja kwa moja. 2 bila kuchelewa; bila kupinda; bila kubadili njia. come ~ to the point sema waziwazi, acha utondoti. 3 ~ away/off mara moja. ~ out bila kusita. 4 go ~ (fig) -wa mwaminifu (baada ya kuishi kilaghai), acha uhalifu n (usu the ~) usawa, moja kwa moja; sehemu iliyonyooka/ya mwisho. straightforward adj 1 -nyofu, halisi, waziwazi. 2 rahisi, -epesi. straightforwardly adv. straightway adv (arch) mara moja, papo hapo, pale pale, bila kukawia.