straggle

vi 1 tawanyika, tapakaa, enea. 2 baki nyuma; potea n mchelewaji, aliye nyuma; mpoteaji. straggly adj -liotawanyika, -liotapakaa.