stool

n 1 stuli, kigoda, kiti kidogo. fall between two ~s poteza nafasi kwa kusita/ kuyumba kwenye uamuzi. 2 choo, mavi, kinyesi. 3 (foot) ~ n kibago. ~-pigeon n njiwa chambo: njiwa wa kuvutia wenziwe tunduni; (fig) (of person) shushushu, chambo: mtu atumiwaye kukamatisha wahalifu.