stoke

vt chochea, chocheleza; tia makaa tanurini. ~ hold/hole n (in a ship's furnaces) mahali makaa yachochewapo; mdomo wa tanuri. stoker n mchocheaji makaa; kifaa cha kuchochea makaa.