stock

n take ~ of something/somebody(fig) tathmini, pima, kadiria (hali, uwezo wa mtu n.k). ~ -in trade n mahitaji ya biashara/kazi. 2 (attrib) -enye kupatikana; (fig) nayotumika mno, -a kawaida mno. ~ answers n majibu yale yale. ~ company n kikundi cha sanaa chenye michezo fulani fulani tu. 3 akiba. stockpiling n kuweka akiba; kuhodhi bidhaa, mali. make ~ of faidi. (be) in/out of stock kuwepo/kutokuwepo kwa bidhaa (fulani). ~-list n orodha ya bidhaa/mali (iliyopo). ~-room n bohari, ghala/stoo ya bidhaa. take ~ hesabu mali. stock-taking n kuhesabu mali. 4 (live) ~ mifugo. ~ -breeder/farmer n mfugaji wa wanyama. ~ -car n behewa la ng'ombe. ~ yard n zizi (la muda). ~car racing n mashindano ya mbio za magari (ya kawaida). 5 rasilimali; hisa. ~ broker n dalali, mnadi (wa hisa). ~ -exchange n soko la hisa, mnada. ~ holder n mwenye hisa. stock-jobber n mfanyabiashara wa hisa; mlimbikizaji katika mnada wa bidhaa. ~list orodha ya bei za hisa. 6 shina nasaba, jadi, kizazi, ukoo. 7 ~ s and ~stones n vitu visivyokuwa na uhai. ~ -still adv kimya kabisa, tuli. laughing -~ n kichekesho. 8 malighafi. 9 mchuzi, maji ya nyama/ mifupa, supu. stockpot sufuria ya kuchemshia mchuzi. 10 (of gun, etc) tako, uti, mti. lock, ~and barrel kabisa. 11 shina. 12 daraja la kutengenezea meli. on the ~s nayotengenezwa/ jengwa. 13 skafu vt jaza, wa na bidhaa (dukani). stockist n mwekaji bidhaa (dukani n.k.).