stink
vi,vt 1 ~(of something) nuka. 2 cry ~ing fish chukia bidhaa zako mwenyewe; (sl) jaa tele. he ~s of money ana fedha tele. 3 ~somebody/something out ondoa/ fukuza kwa kutumia harufu mbaya (k.m. kutoa ushuzi); jaza harufu mbaya; fukiza/puliza n 1 uvundo, harufu mbaya, kunuka. 2 (sl) fujo, vurugu. raise/kick up a ~ (about something) (colloq) fanya fujo/vurugu. stinker n (sl) 1 barua kali/chafu. 2 mwenye roho mbaya. 3 (colloq) kitu/jambo gumu the exam was a ~er mtihani ulikuwa mgumu.