sting

n 1 mwiba (wa nyuki, ng'e, jani, miti n.k.). 2 ukali, uchungu (unaotokana na kuumwa na mdudu). 3 kichomi ~s of remorse majuto, kuona vibaya vt,vi 1 uma, choma. 2 chonyota, chenyeta. 3 ~somebody (to/into something/doing something) tia uchungu, sononesha, kasirisha. 4 (colloq) ~somebody (for something) ibia, langua, gonga n kinachouma; inayochonyota; mwiba. stingless adj bila mwiba, sio choma.