1n kikeneko: mtambo wa kukenekea vinywaji vikali (k.m. wiski, gongo, brandi n.k.). ~ roomn stoo ya mwangalizi wa nyumba (katika jumba kubwa).
still
2adj,adv 1 -tulivu; kimya be ~ tulia, nyamaza ~ water maji mafu, maji matulivu. the ~ small voice sauti ya dhamira. ~ -lifen michoro ya vitu visivyo hai (k.m. matunda). ~ birthn mtoto asiye riziki. still-bornadj (of a child) aliyezaliwa mfu. 2 (of wines) -sio na gesi n 1 (poet) kimya kabisa. 2 picha ya kawaida (iliyotofautishwa na sinema) vt nyamazisha; tuliza. stillyadj(poet) tulivu, kimya. stillnessn.
still
3adv bado, hata sasa, hata hivyo she ~ hopes to go bado anatarajia kwenda he is sick but ~ he will do it ni mgonjwa lakini hata hivyo atafanya.