stick
stick
1 n 1 fimbo, ufito, . 2 kiboko, kibarango (walking) bakora, mkongojo. give somebody the ~ chapa mtu fimbo/kiboko; (fig) adhibu mtu. get hold of the wrong end of the ~ changanyikiwa, toelewa kabisa. the big ~ n (fig) tishio la kutumia nguvu a policy of the big ~ siasa ya mabavu. 3 (colloq) fala, mtu aliyezubaa na mnyamavu. 4 the ~s n (colloq) mashenzini. out in the ~s porini; mbali na kiini cha jambo. 5 (of soap etc) mchi, kinoo, mkuo vt shikilia kwa fito.stick
2 vt,vi 1 ~ something (in) choma; chomekwa; chomeka. ~ a pig (in sport) ua nguruwe kwa mkuki. 2 (of something pointed) ng'ang'ania, shikilia, nasa. 3 ganda, gandamana, gundika. be/get stuck with somebody/something (colloq) sukumiziwa, bebeshwa, fungwa na shindwa kuachana na mtu/kitu. ~ing plaster n plasta. 4 (colloq) futika, weka haraka au ovyo ovyo he stuck the money in his pockets alifutika fedha mfukoni mwake. 5 ~ (in) ng'ang'ana, nasa, kwama the key stuck in the lock ufunguo ulinasa katika kufuli. ~ in one's throat (of proposals) -tokubalika, wa ngumu kuelezeka. ~ -in-the-mud attr. adj -a kung'ang'ania ya kale. 6 (colloq) vumilia. ~ to it shikilia. 7 (special uses). ~ around (sl) (of a person) toenda mbali, kaa karibu. ~ around! usiende mbali. ~ at something sitasita; endelea na jambo (k.v. kazi) kwa kipindi kirefu. ~ something down (colloq) weka chini; (colloq) andika; gundika; bandika. ~ on something bakia, shikilia. ~ something on bandika. ~ it on (sl) langua sana. ~ something out toa (kitu) nje he stuck his head out of the window alitoa kichwa chake nje ya dirisha. ~ out for something ng'ang'ania. ~ to somebody/something -wa mwaminifu; endelea hadi mwisho wa jambo. ~ together (colloq) (of persons) chukuzana, bakia marafiki, shikamana. ~ up jitokeza. ~ somebody/something up (sl) tishia kumpiga mtu risasi ili kumwibia. ~ your hands up mikono juu. ~ up for somebody/ oneself/ something unga mkono, tetea; jilinda. ~ with (sl) shikamana na, shikilia n 1 kitu kinachong'ang'ania; mshikiliaji (wa jambo). 2 kibandiko, karatasi ya gundi. stickler n (for something) mrasimu, mtu anayesisitizia umuhimu wa kitu (k.m. ukamili, sheria, adabu, urasimi n.k.).sticky adj 1 -a kunata; (of earth) -a mfinyanzi. be on a ~y wicket (fig) -wa katika hali ngumu. 2 (sl) baya, gumu. come to a ~y end kufa vibaya kwa mateso makali. 3 (colloq) gumu (kutoa n.k.). stickily adv. ~ness n. stickpin n (US) 1 pini ya tai, pete ya tai. 2 pini.