steward

n 1 (of aircraft, ship, train) mtumishi, mhudumu (wa abiria). 2 mwandalizi (wa dansi, mikutano n.k). 3 mkadamu. 4 afisa ugavi (wa kilabu, chuo n.k). stewardess n (of aircraft, ship, train) mtumishi wa kike. stewardship n utumishi; usimamizi; ukadamu; kipindi cha kutumikia kazi hizo.