stern

stern

1 adj -kali, -gumu, yabisi, bila huruma. sternly adv kwa ukali, bila huruma. sternness n ukali, ugumu.

stern

2 n 1 shetri, tezi. sternwheeler n stima yenye kasia la gurudumu. 2 nyuma matako, mkia. ~-sheets n eneo la viti vya abiria.