status

n hadhi, hali, cheo, manzili immigration ~ (hali ya) uraia marital ~ hali ya ndoa national ~ hali ya uraia. ~ symbol n ishara/ alama ya ukubalifu/ hadhi.