statue

n. sanamu, umbo (la kitu katika mti, jiwe n.k.). statuesque adj kama sanamu ya kuchonga. statuesqueness n. statuesquely adv. statuette n sanamu kijisanamu. statuary n sanamu adj -a kuchonga sanamu.