station
n 1 kikosi, lindo. 2 stesheni/ kituo. ~ master n stesheni masta. broadcasting ~ n kituo cha matangazo. police ~ n kituo cha polisi. 3 (Australia) zizi, ranchi. 4 kikao, manzili. 5 cheo, daraja, kiwango. 6 (mil) ngome, kituo cha jeshi. 7 ~S of the cross njia ya msalaba vt weka mahali pamoja, jikita, kalisha. stationary adj 1 -a kusimama pamoja. -liokazwa pamoja -sio hamishika. 2 -sioondoleka, -siogeuka, lio simama.