state
state
1 n 1 hali ~ of emergency hali ya hatari. ~ of play (fig) hali ya mambo (katika mashindano). 2 cheo, daraja, hadhi. 3 fahari, heshima, enzi, sherehe live in ~ ishi katika enzi. 4 dola; serikali, jimbo. the United States n Marekani. Head of S~ n Mkuu wa nchi. the S~ Department n (US) Wizara ya mambo ya nchi za nje. S~ legislature n bunge la jimbo. ~'s evidence n shahidi wa serikali. S~ House n Ikulu. lie in ~ pewa heshima ya mwisho (baada ya kufa). 6 (compounds) state-room n chumba cha binafsi (melini). stately adj -adhimu bora; -a madaha. stateliness n sherehe, fahari; madaha, madahiro. statecraft n ujuzi wa uongozi. stateless adj sio na uraia/utaifa ~less person asiye na uraia wowote; statesman mtawala, mwanasiasa mweledi; kiongozi wa siasa. ~sman like adj -a akili, -a kama mtawala mweledi, -a busara in a ~smanlike manner kiungwana. statesmanship n ustadi katika utawala; akili katika utawala; weledi wa utawala.state
2 vt nena, sema, eleza, aridhia. stated adj -liotajwa. statement n 1 kauli, habari, maelezo. 2 taarifa contradictory ~ment maelezo yanayopingana.