starve

vi,vt shinda/ shindisha na njaa;kosa/kosesha chakula; jinyima/nyima chakula, -fa kwa njaa. be ~d of/~for (fig) tamani; hitaji sana. starvation n 1 kukosa chakula, njaa, 2 (colloq) kuona njaa. starveling n ashindaye na njaa, afaye kwa njaa/utapiamlo.