stare

vt,vi ~(at) 1 kodoa/ kodolea/ kaza/kazia/tumbua/tumbulia macho. make somebody ~ shtua mtu. 2 ~ somebody out (of countenance) kodolea mtu macho kiasi cha kumtia kiwewe/wasiwasi. ~ somebody out/down kodolea mtu macho kupita anavyoweza kukukodolea wewe. ~ one in the face kazia mtu macho; -wa mkabala na, -wa usoni mwa;-wa mbele ya n kukodoa kutumbua macho. staring adj (of colours) -kali, -a kuonekana adv (only in) stark staring mad kichaa kabisa.