star

n 1 nyota. falling ~ n kimondo lucky ~ nyota ya jaha. starfish n kiti cha pweza. starlight n mwanga wa nyota. starlit adj -a kuangazwa kwa nyota. 2 umbo la nyota; kinyota. see ~s ona vimulimuli. the S~-Spangled Banner n Bendera ya Taifa ya Amerika; wimbo wa taifa wa Amerika. the S~s and Stripes n bendera ya taifa ya Amerika. S~ Wars n vita vya anga. 3 (of a person's fortune) nyota born under a lucky ~ mtu mwenye bahati. star-gazer n (hum) mnajimu. 4 mashuhuri, maarufu, nyota a film-~ mchezaji maarufu wa sinema vt,vi 1 pamba, tia alama ya nyota. 2 ~ (somebody) in -wa nyota; tangaza mchezaji mchanga anayeelekea kwenye umaarufu. stardom n kuwa nyota; umashuhuri. starlet n msichana mchezaji (anayeelekea kuwa nyota). starless adj bila nyota. starry adj -enye nyota, -a kung'aa, -a kumetameta ~ry-night usiku wa nyota. starry-eyed adj (colloq) dhanifu; -a kufikirika tu.