standing

adj 1 -a kusimama. ~ crop mazao yaliyo shambani. 2 -a siku zote, a kudumu. ~ing orders n taratibu kuu. 4 ~ing corn n mahindi ambayo hayajavunwa. ~ing jump n mvuko bila kukimbia. ~ing army n wanajeshi wa kudumu n 1 nafasi, hadhi, cheo a man of good ~ mtu mwenye cheo. 2 aushi, maisha; muda, wakati of long ~-a muda mrefu.